1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampuni za Ujerumani zawapa maarifa vijana wa Afrika

Harrison Kalunga Mwilima28 Novemba 2019

Kwenye makala ya Sura ya Ujerumani Harisson Mwilima anaangazia mradi wa kuleta vijana kutoka Afrika, wanaotumia muda wa karibu mwaka mzima katika makampuni makubwa ya Ujerumani, mradi unaofahamika kama Afrika Kommt au kwa Kiswahii unaweza kuitwa Afrika inakuja.

https://p.dw.com/p/3Tu2W