Kampeni ya chanjo ya kichaa cha mbwa Kenya | Media Center | DW | 28.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kampeni ya chanjo ya kichaa cha mbwa Kenya

Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari unaoathiri ubongo na hata kusababisha kifo kwa anayeambukizwa iwe mnyama mwengine au binadamu, baada ya kung'atwa na mbwa. Nchini Kenya kumekuwa na kampeni ya chanjo ya ugonjwa huo ili kuutokomeza.

Tazama vidio 03:01