1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamishna wa Umoja wa Ulaya ziarani Kigali,Rwanda

11 Desemba 2008

Umoja wa Ulaya umeziomba nchi za Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kurejesha uhusiano wa Kidiplomasia, na kushirikiana kumaliza matatizo ya kiusalama yanayoendelea mashariki mwa Kongo karibu na mpaka na Rwanda.

https://p.dw.com/p/GDxC
Louis Michel, Kamishna wa Umoja wa UlayaPicha: AP

Kamishna wa Umoja huo Louis Michel ameyatangaza hayo baada ya mazungumzo ya faragha aliyofanya na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali, kabla ya kuondoka adhuhuri ya leo kuelekea mjini Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kutoka Kigali Daniel Gakuba anataarifa kamili.