Kamishna mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa akamilisha ziara yake Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 16.04.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kamishna mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa akamilisha ziara yake Tanzania

Ashuhudia zoezi la kupewa uraia wakimbizi wa Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania tangu mwaka 1972

Antonio Guterres, mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR

Antonio Guterres, mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR

Kamishna mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi-UNHCR, Antonio Gutteres, amemaliza ziara yake nchini Tanzania huku akishuhudia zoezi la Tanzania kuwapa uraia zaidi ya wakimbizi laki moja na elfu sitini kutoka nchini Burundi ambao wamekuwa wakiishi Tanzania tangu mwaka 1972.

Mwandishi wetu Christopher Buke aliyefuatana na kamishna huyo ametutumia taarifa ifuatayo.

Mtayarishaji: Christopher Buke

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/MyXN
 • Tarehe 16.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/MyXN
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com