1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kambi ya kale ya mauaji ya Auschwitz

Harrison Mwilima31 Januari 2020

Sura ya Ujerumani leo hii inakupeleka moja kwa moja katika kambi ya mauji ya Auschwitz, ambayo sasa imekua kama sehemu mojawapo ya makumbusho ya mauji ya wayahudi, yanayofahamika kama Holocaust. Makala hii imeandaliwa na Julian Berner na msimulizi wako ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3X4dh