Kamati ya Maridhiano Zanzibar yashtushwa na Dk. Shein | Matukio ya Afrika | DW | 10.06.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kamati ya Maridhiano Zanzibar yashtushwa na Dk. Shein

Hali visiwani Zanzibar inaonekana si shwari kwenye serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa, baada ya Rais Ali Mohamed Shein kusema haitambui Kamati ya Maridhiano iliyoasisi muundo huo mpya wa serikali anayoiongoza.

Kollege Mohammed Abdulrahm hat sie gerade aus Sansibar geschickt und überlässt der DW das Copyright.

Präsidentschaftskandidaten in Sansibar: Seif Sharif Hamad (l.) und Dr.Ali Mohamed Shein (r)

Dk. Shein alitoa changamoto kwa Kamati hiyo inayoongozwa na mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo, kumtaja aliyeianzisha. Sekione Kitojo amezungumza na mjumbe wa kamati hiyo, Eddy Riyami, ambaye ni mwanachama wa CCM, chama ambacho kinaongozwa na Rais Shein kwa upande wa Zanzibar.

Kusikiliza mahojiano kamili, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada