KABUL: Shambulizi la NATO limeua hadi watu 45 | Habari za Ulimwengu | DW | 22.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KABUL: Shambulizi la NATO limeua hadi watu 45

Shambulio la vikosi vya anga vya NATO,kusini mwa Afghanistan,limeua hadi watu 45.Ripoti za vyombo vya habari zinasema,si chini ya raia 25 ni miongoni mwa wale waliouawa katika shambulizi lililofanywa wakati wa usiku.Inaaminiwa kuwa wengine waliouawa,walikuwa wapiganaji wa Taliban.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com