Kabila la Bambuti la Kongo latishia kurudi msituni walikofukuzwa | Masuala ya Jamii | DW | 22.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kabila la Bambuti la Kongo latishia kurudi msituni walikofukuzwa

Mbiu ya Mnyonge inaangazia mgogoro unaorindima wa watu wa kabila la Bambuti wanaotishia kurudi msituni walikofukuzwa ikiwa hawatolipwa fidia na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Sikiliza sauti 09:47