1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumba la kifalme la Bulange nchini Uganda lawaka moto

10 Oktoba 2012

Nchini Uganda mtu mmoja ameuawa, na wengine kujeruhiwa baada ya kuzuka moto katika makao makuu ya ofisi ya jumba la kifalme la Bulange nchini humo.

https://p.dw.com/p/16NDH

Inasemekana radio moja ya CBS inayofanya kazi katika eneo hilo kwa sasa haiko hewani. Amina Abubakar amezungumza muda mfupi uliopita na mwandishi wetu mjini Kampala Leylah Ndinda aliyekuweko katika eneo hilo, na anaelezea tukio lenyewe.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi.Amina Abubakar

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman