Bustani ya Kamukunji nchini Kenya ni maarufu kwa shughuli za kisiasa za vyama vingi nchini Kenya. Hata hivyo, wahuni na wauza mihadarati walilivamia na likawa eneo ambalo halitamaniki. Kwa sasa vijana wanaojali mazingira wamelisafisha na ni eneo la kubarizi. Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia juhudi za kuitengeza ya Kamukunji