JOHANNESBURG.Serikali ya Afrika Kusini yaidhinisha ndoa kwa watu wa jinsia moja | Habari za Ulimwengu | DW | 15.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JOHANNESBURG.Serikali ya Afrika Kusini yaidhinisha ndoa kwa watu wa jinsia moja

Afrika Kusini ni ya kwanza katika bara la Afrika kuidhinisha ndoa ya watu wa jinsia moja.

Wabunge 230 wametia saini mswaada wa kuidhinisha sheria hiyo huku wabunge 41 wakiupinga wakati ulipowasilishwa bungeni, wabunge watatu hawakushiriki.

Serikali ya Afrika Kusini ililazimika kubadili katiba ya nchi hiyo baada ya mahakama kuu ya nchi hiyo kutoa uamuzi kwamba watu wa jinsia moja na wanaotaka kuoana walinyimnwa haki katika katiba ya zamani.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com