JOHANNESBURG: Rais mstaafu Nelson Mandela atimiza miaka 89 | Habari za Ulimwengu | DW | 18.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JOHANNESBURG: Rais mstaafu Nelson Mandela atimiza miaka 89

Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini,Nelson Mandela hii leo ametimiza miaka 89.Afrika ya Kusini imeadhimisha siku ya kuzaliwa kwake,kwa kumsifu na kumpongeza kiongozi huyo mashuhuri aliepinga utawala wa ubaguzi wa rangi.Mandela hii leo pia anazindua kundi jipya la kimataifa kusaidia kutenzua matatizo ya kimataifa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com