Jitihada ya kupanua tiba ya upasuaji EAC | Masuala ya Jamii | DW | 22.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Jitihada ya kupanua tiba ya upasuaji EAC

Nchi za Afrika mashariki zimeanzisha mkakati wa pamoja wa kuzalisha wataalamu wa upasuaji kwa ajili ya kukabiliana na pengo kubwa lililopo ambalo linasabisha huduma hiyo kutopatikana kirahisi katika baadhi ya maeneo.

Tansania, Fahrzeug für medizinische Hilfe

Gari maalumu au kontena la kutoa tiba za upasuaji katika maeneo ya jijini Dar es Salaam

Nchi hizo ziko mbioni kunufaika na mpango mpya baada ya kuzinduliwa kwa mfumo wa kisasa unaotumia gari ama kontena maalumu kufundishia wataalamu wa upasuaji. Tayari kontena hilo limeanza kufanya kazi nchini Tanzania likiwafunza madaktari wa upasuaji katika vyuo vya tiba vilivyoko jijini Dar es Salaam na baadaye litasafirishwa katika miji mingine ikiwamo Mwanza na Arusha. Kwa kufahamu zaidi sikiliza makala iliyoandaliwa na George Njogopa. Kusikiliza makala bonyeza kitufe cha kusikilizia masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com