1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawakili vijana wanavyoweza kusaidia na huduma za kisheria

Josephat Charo
18 Agosti 2019

Katika kipindi hiki cha Vijana Tugutuke Veronica Natalis anazungumza na mawakili vijana kuhusu vipi wanavyoweza kuchangia utoaji huduma kwa jamii kwa kuwasaidia watu na huduma za kimahakama.

https://p.dw.com/p/3O5Lg