JERUSALEM: Israel yaonya kuchukua hatua kali zaidi | Habari za Ulimwengu | DW | 20.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JERUSALEM: Israel yaonya kuchukua hatua kali zaidi

Waziri mkuu wa Israel,Ehud Olmert ametishia kuchukua hatua kali zaidi za kijeshi katika Ukanda wa Gaza ikiwa kundi la Hamas halitoacha

kurusha makombora kusini mwa Israel.Mashambulio ya angani ya Israel hii leo yameua Wapalestina 3 walioshukiwa kuwa wanamgambo wa Hamas.Kama Wapalestina 21 wameua katika mashambulio ya siku tano yaliofanywa na ndege na vifaru vya Israel.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com