1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je zoezi zima la uchaguzi lilikuwa la uhuru na uwazi?

Amina Mjahid
28 Oktoba 2020

Sehemu kubwa ya Watanzania, Bara na Visiwani imehitimisha zoezi la upigaji kura leo (28.10.2020) ambao ulihusu nafasi ya urais wabunge na madiwani. Nassoro Kidunda ni mchambuzi wa siasa nchini Tanzania, mwenzangu Sudi Mnette amezungumza nae na kwanza anatoa tathimini ya juu ya zoezila uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3kYSX