1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je uchaguzi umezingatia masuala ya haki za binaadamu?

Amina Mjahid
28 Oktoba 2020

Mkurugenzi wa Kanda Afrika Mashariki wa shirika la Amnesty International Seif Magango, aliyeko Nairobi, Kenya ametoa tathmini yake juu ya Uchaguzi wa Tanzania. Lilian Mtono amezungumza nae zaidi sikiliza mahojiano yao hapa.

https://p.dw.com/p/3kYRN