Je, Zanzibar ni Nchi? | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Je, Zanzibar ni Nchi?

Mabishano yamepamba moto huko Tanzania Bara na Visiwani juu ya tamko alilolitoa waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, kwamba Visiwa vya Zanzibar sio nchi.

Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Mji Mkongwe wa Zanzibar.


Yaonesha viongozi wa Chama cha Mapinduzi huko Zanzibar na pia wa chamna cha upinzani cha CUF wana msimamo mmoja kupinga tamko hilo la Bwana Pinda. Chama cha CUF kimewahimiza viongozi wa CCM wa Zanzibar watangaze mzozo wa kikatiba kutokana na tamko la Mizengo Pinda. Halima Nyanza alizungumza kwa njia ya simu na makamo wa katibu mkuu wa Chama cha CUF, upande wa Zanzibar, Juma Duni, na alielezea hivi namna chama chake kinavoyaona mabishano haya:
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com