1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je watoto wako salama wanapotumia mitandao ya kijamii?

Sylvia Mwehozi12 Oktoba 2021

Hivi karibuni kampuni ya Facebook na mitandao yake ya Instagram na WhatsApp ilizimika hewani kwa masaa kadhaa. Tafrani hiyo ilitokea siku chache baada ya aliyewahi kufanya na Facebook kutoa ushahidi unaodhihirisha jinsi mitandao hiyo isivyojali usalama na faragha ya watumiaji wake hivyo kuwaathiri watoto. Mengi zaidi ni kwenye Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/41YrA