1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je wafahamu kuhusu jamii ya Wabulushi nchini Kenya?

14 Machi 2022

Wabulushi ni watu wa Asia kutoka mataifa ya Afghanistan, Pakistan na Iran ambao wamekuwa sehemu ya jamii ya waswahili wa Mombasa, Kenya na Afrika Mashariki. Fahamu historia yao kupitia video hii ya DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/48S70