Je, upinzani wafifia Afrika Mashariki? | Media Center | DW | 17.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je, upinzani wafifia Afrika Mashariki?

Je, Kenya imekuwa nchi ambayo haina upinzani tena? Kwa nini nchini Uganda upinzani umeendelea kukabwa koo na hauna nafasi ya kupumua? Tanzania kunashuhudiwa viongozi wa upinzani wakichukua uamuzi wa kuhamia chama tawala CCM. Jiunge na Josephat Charo na Rashid Chilumba katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara.

Sikiliza sauti 47:24