1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unafanya mazoezi?

Grace Kabogo
18 Februari 2020

Iwe unatimua mbio kila asubuhi na jioni au unajitupatupa na kutoka jasho sebuleni kwako kila siku, muhimu ni mazoezi. Wataalamu wa afya wanashauri mwili wa binadamu ni sharti ufanyishwe mazoezi ili kuwa na afya njema. Wewe unashiriki vipi mazoezi ya mwili na unajipanga kwa namna gani, ili kuwa na afya njema?

https://p.dw.com/p/3XvQK