1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unafahamu vyema kifafa au mtizamo wako ni potofu?

John Juma
28 Agosti 2018

Kifafa ni pana na ngumu. Kwa kawaida, wanaoathiriwa ni wale wamepata tiba isiyofaa. Baada ya kisa chake cha kwanza kuanguka, wazazi wa Taurai Kadzviti, walidhani alikuwa na ugonjwa wa akili na akalazwa katika wadi ya wenye matatizo ya akili. Mvulana huyu mdogo aliingiwa hofu sana.

https://p.dw.com/p/33uDt