Je, Trump akiuka sheria kuzuia mawasilaino na raia Twitter | Masuala ya Jamii | DW | 20.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Je, Trump akiuka sheria kuzuia mawasilaino na raia Twitter

Rais wa Marekani Donald Trump analaumiwa kwa kuzuia mawasiliano na wananchi wanaothubutu kumpinga misimamo yake katika ukurasa wake wa Twitter. Baadhi ya Wamarekani wanasema kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya kulinda uhuru wa kujieleza. Na nchini Nigeria ibada ya nyimbo za injili yashamiri Instagram.

Sikiliza sauti 09:46