Je sheria za wazazi nyumbani zinahitajika? | Media Center | DW | 03.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je sheria za wazazi nyumbani zinahitajika?

Vijana wengi hulalamikia sheria kali zinazowekwa na wazazi nyumabni. Sheria na kanuni hizo hazijawahi kuandikwa kokote lakini kila mzazi lazima awe na sheria zake ambazo hutekelezwa na vijana. Katika Makala ya Vijana Mchakamchaka Sylvia Mwehozi anajadili umuhimu wa sheria hizo na namna zinavyomsaidia kijana.

Sikiliza sauti 09:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)