Je, michezo ndiyo itakayowakomboa vijana wa Afrika? | Media Center | DW | 21.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je, michezo ndiyo itakayowakomboa vijana wa Afrika?

Vijana wa Kiafrika wametengwa na serikali zao katika sekta tofauti na mwisho wa siku wanasalia kuumia katika umaskini. Katika vijana Mubashara leo hii, Jacob Safari anaangazia iwapo michezo inaweza kuwanusuru vijana hao.

Sikiliza sauti 09:51