Je, kuna mgawanyiko ndani ya Chadema? | Matukio ya Afrika | DW | 26.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Je, kuna mgawanyiko ndani ya Chadema?

Kufuatia wanachama 19 wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum kinyume na maagizo ya chama chao, DW ilizungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Azaveli Lwaitama, ili kufahamu hasa kinachoendelea katika chama hicho.

Sikiliza sauti 03:14