1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Kaunda atakumbukwa kwa jambo gani?

Sudi Mnette
18 Juni 2021

Je, Kenneth Kaunda analiachia bara la Afrika na jambo gani la kukumbukwa? Swali hilo linajibiwa na Mohammed Abdulrahman, mtangazaji mstaafu wa DW, ambaye ni mjuzi mkubwa wa siasa za Afrika na hasa linapohusika suala la harakati za ukombozi.

https://p.dw.com/p/3v9kw