Je hofu ya ukimwi kwa vijana imepungua? | Media Center | DW | 01.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je hofu ya ukimwi kwa vijana imepungua?

Kulingana na takwimu za ulimwengu, Maambukizi ya VVU miongoni mwa vijana bado yapo kwa kiwango kikubwa. Kwa mfano nchini Kenya, ripoti zinaashiria kuwa wanafunzi ndio wanaoambukizwa virusi vya HIV kwa wingi. Je hofu ya ukimwi miongoni mwa vijana imepungua na kwanini?#kurunzi

Tazama vidio 02:59