1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je Azimio la Zanzibar litairejesha Demokrasia Tanzania?

Yusra Buwayhid
3 Januari 2019

Hili ni swali linalogonga vichwa vya habari nchini Tanzania, baada ya vyama sita vya upinzani kukutana na kutoa azimio maarufu kama 'Azimio la Zanzibar' la kuidai demokrasia. Msikilize Ado Shaibu Katibu wa Uenezi wa chama cha ACT Wazalendo akieleza hatua zilizochukuliwa.

https://p.dw.com/p/3AxvP