Jaribio la mapinduzi visiwani Comoro | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Jaribio la mapinduzi visiwani Comoro

Watu kadhaa wamekamatwa katika visiwa vya Comoro kwa kuandaa mpango wa kutaka kuipindua serikali ya Rais Ikililou Dhoinine (Dhanin).

epa03164283 (L-R) Comoros President Ikililou Dhoinine, Lebanese President Michel Suleiman, Palestinian President Mahmoud Abbas, Sudanese President Omar al-Bashir, Iraqi President Jalal Talabani, Djibouti's President Ismail Omar Guelleh, Kuwait's emir Sheikh Sabah al-Ahmad al-Sabah, Somali President Sheik Sharif Sheik Ahmed, and Chairman of Libyan National Transitional Council Mustafa Abdul Jalil pose to photographers before the opening session of the Arab Summit in Baghdad, Iraq, 29 March 2012. The Arab League summit, the first in two years, was opened in Baghdad amid high security, with the problems in Syria topping its agenda. At least 10 Arab heads of state and government were expected to attend the event, the first pan-Arab gathering to be held in Iraq since May 1990. EPA/AHMED JALIL +++(c) dpa - Bildfunk+++

Viongozi wa matiafa ya kiarabu akiwemo rais Ikililou Dhoinine

Miongoni mwa waliokamatwa ni mtoto wa kiume wa rais wa zamani Ahmed Abdalla, ambaye aliuawa 1989. Juhudi za kuwapa maafisa wa serikali ya Comoro kuzungumzia kuhusu njama hiyo hazikufanikiwa, hata hivyo kiongozi wa upinzani nchini humo Houmed Msaidie ameilaumu serikali kwa kushindwa hadi sasa kutoa maelezo juu ya tukio hilo, ikiwa siku tatu baada ya watu hao kukamatwa. Daniel Gakuba amezungumza na bwana huyo, kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com