1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la virusi vya corona na biashara ya mtandaoni

Sylvia Mwehozi/MMT7 Julai 2020

Wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo barani afrika waliokuwa wamezoea njia za asili za kungoja wateja kufuata huduma na bidhaa, wakati huu wa janga la corona walilazimika kuumiza vichwa ili kuweza kuendeleza biashara zao. Kuyasikia yote hayo, msikilize Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/3erpY