1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jamii za kale zilikabiliana vipi na magonjwa ya milipuko?

Saumu Ramadhani Yusuf13 Julai 2020

Katika makala ya Utamaduni na Sanaa, Saumu Mwasimba anakurejesha nyuma, kuangalia namna jamii za kel hasa barani Afrika zilivyoweza kupambana na majanga na magonjwa ya mlipuko ambayo yalitokea enzi hizo. Je walituimia njia gani za asili kukabiliana na matatizo hayo katika jamii?.

https://p.dw.com/p/3fDuZ