Jamii ya Karamajong yapigania kulinda utamaduni wake Uganda
30 Novemba 2011
Jamii ya Karamajong nchini Uganda ni maarufu kwa ufugaji ng'ombe kama ilivyo jamii ya Maasai katika nchi nyengine za Afrika ya Mashariki, ambayo nayo inaendelea kushikilia itikadi za utamaduni wake kwa mtazamo mkali.
https://p.dw.com/p/13Jsh
Matangazo
Mwandishi wetu wa Uganda, Leyla Ndinda ametembelea jamii ya Karamajong nchini humo kujua mfumo wao wa maisha na mambo wanayoendelea kuyalinda yasipotee.