Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupata mkopo kutoka China | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupata mkopo kutoka China

China inatowa mkopo wa dola bilioni 14 kwa DRC. Fedha hizo zitahusu ujenzi wa nchi hiyo kupitia sekta ya kilimo,afya,elimu na miundombinu.

Lakini shirika la fedha ulimwenguni limeionya serikali

ya kongo kuhusu ukubwa wa deni kwamba linaweza kuiweka

nchi hiyo katika utumwa wa miaka nyingi.

Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com