JAKARTA:Hatari ya kuzuka magonjwa kufuatia mafuriko nchini Indonesia | Habari za Ulimwengu | DW | 07.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JAKARTA:Hatari ya kuzuka magonjwa kufuatia mafuriko nchini Indonesia

Maafisa wa idara ya afya nchini Indonesia wametahadharisha juu ya hatari ya kuzuka magonjwa kutokana na maji machafu yaliyoufunika mji wa Jakarta, kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu wasiopungua 44. Watu wengine zaidi ya laki 3 na alfu 40 wameyakimbia makao yao katika mji huo.

Mafuriko hayo yalisababishwa na mvua kubwa zilizoanza kunyesha wiki jana.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com