1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jacob zuma ajiuzulu

15 Februari 2018

Afrika Kusini sasa inajitayarisha kumuapisha rais mpya baada ya Jacob Zuma kuachia ngazi kama rais. Zuma ambaye alikuwa anakabiliwa na madai chungunzima ya ufisadi amefikia uamuzi huo baada ya shinikizo kutoka kwa chama chake cha Africa National Congress ANC.

https://p.dw.com/p/2sjQN