1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

J1 25.08.2016, Matangazo ya Asubuhi

V2 / S12S25 Agosti 2016

Akinamama kutoka barani Afrika wanashiriki kongmano la siku mbili Nairobi nchini Kenya// Burundi- uhaba mkubwa wa mafuta ya petroli na dizeli// Wanawake na wasichana 1,1000 wa kabila dogo la Yazidi kutoka kaskazini mwa Iraq ambao ni wahanga wa vitendo vya ubakaji na unyanyasaji vilivyofanywa na wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu wako nchini Ujerumani wakipatiwa msaada na matibabu.

https://p.dw.com/p/1JpHG