1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia yapeleka Rome Kombe la Euro 2020

Bruce Amani
12 Julai 2021

Italia wamewavunja mioyo England kwa kuwafunga 3-2 kupitia penati na kubeba Kombe la Euro 2020 baada ya sare ya 1 - 1

https://p.dw.com/p/3wLZL