1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Israel yafungua tena kivuko cha kuingiza bidhaa Gaza

Grace Kabogo
15 Agosti 2018

Israel imekifungua tena kivuko chake pekee cha kupitisha bidhaa kuingia Ukanda wa Gaza, baada ya kurejea kwa utulivu kwenye mpaka huo.

https://p.dw.com/p/33CFt