ISLAMABAD:aachiwa bila ya mashtaka baada ya mahabusu ya miaka mitatu | Habari za Ulimwengu | DW | 21.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD:aachiwa bila ya mashtaka baada ya mahabusu ya miaka mitatu

Pakistan imemwachia bila ya mashtaka mtaalamu wa kompyuta alietuhumiwa kuwa na uhusiano na mtandao wa kigaidi wa al-Kaida, baada ya kumweka mahabusu kwa muda wa miaka mitatu. Mtaalamu huyo Mohammed Noor Khan alidaiwa kuwa kiunganishi baina ya viongozi wa al-Kaida na wapiganaji wa mtandao huo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com