ISLAMABAD: Pakistan imejaribu kombora la nyuklia | Habari za Ulimwengu | DW | 09.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD: Pakistan imejaribu kombora la nyuklia

Pakistan imefanya jeribio la kombora la masafa ya kati lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia. Inasemekana,kombora hilo linaweza kwenda umbali wa kilomita 290.Kwa mujibu wa ripoti za maafisa wa kijeshi,jeribio hilo lilikamilishwa kwa mafanikio.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com