ISLAMABAD: Mkutano wajadili migogoro ya Mashariki ya Kati | Habari za Ulimwengu | DW | 25.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD: Mkutano wajadili migogoro ya Mashariki ya Kati

Mawaziri wa masuala ya nje kutoka mataifa saba ya Kiislamu wanakutana hii leo katika mji mkuu wa Pakistan,Islamabad.Wanasiasa hao wanaijadili migogoro ya Mashariki ya Kati.Syria na Iran hazikualikwa kwa sababu ya kuhusika moja kwa moja na mivutano hiyo.Mkutano wa Islamabad unafanya matayarisho ya mkutano wa kilele wa viongozi wa madola na serikali,unaotazamiwa kufanywa mjini Mekka,Saudi Arabia.Tarehe ya mkutano huo lakini bado haijapangwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com