1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Isaac Ssemakadde:Wakili anayetetea haki za binadamu Uganda

1 Juni 2022

Ana mtindo maalum wa mavazi, anapendeza na hushinda kesi mahakamani. Wakili Ssemakadde hufanya bidii kutetea haki za binadamu nchini Uganda. Hali yake ya 'uasi' dhidi ya ukawaida umemfanya kuwa na marafiki wengi.

https://p.dw.com/p/4C9bY