Irene Mesengi aandika historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Irene Mesengi aandika historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Ameibuka kinara katika mamia ya wanafunzi na kuendelea kuiandika historia ya utofauti katika chuo kikuu kikongwe nchini Tanzania UDSM, hii inasadifu kwamba jitihada za wadau kumuinua msichana zinazaa matunda yenye kuhamasisha wengine. Lakini hili lina maana gani kwa wasichana wenyewe? @miss_hadijahalifa amealikwa na chuo kikuu hicho kuzungumza na jasiri Irene Msengi.

Tazama vidio 05:36