1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ilani ya vyama vya CDU na CSU

Elizabeth Shoo19 Julai 2017

Je, ataweza kwa mara ya nne? Hilo ndilo swali ambalo wachambuzi wa kisiasa wanajiuliza kuhusu Kansela Angela Merkel wa chama cha Christian Democratic Union CDU ambaye ameshikilia madaraka kwa mihula mitatu sasa. Chama chake kimemsimamisha tena kugombea ukansela. Tunaiangazia ilani ya vyama ndugu vya CDU na Christian Social Union, CSU.

https://p.dw.com/p/2goRm