Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa ramadhani mjini Mombasa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa ramadhani mjini Mombasa

Ingawa bado janga la COVID-19 lipo na kungali na makatazo ya kutotoka nje usiku kwa baadhi ya maeneo, hapa katika soko la Marikiti, mjini Mombasa, pwani ya Kenya, kunakouzwa bidhaa mbalimbali za mapishi, shughuli za biashara zinaendelea kama kawaida huku wafanyabiashara wakiendelea kuhudumia wateja wachache wanaokuja kufanya ununuzi wa mahitaji yao ya Ramadhani.

Tazama vidio 03:33