1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijumaa Kuu yaadhimishwa

3 Aprili 2010

Ni siku muhimu katika imani ya Wakristo

https://p.dw.com/p/MmSD
Wakristo wakiadimisha Ijumaa Kuu katika mji wa JerusalemPicha: AP
Wakristo duniani kote waadhimisha Ijumaa Kuu wakikumbuka kuteswa, kusulubiwa na hatimaye kuuwawa kwa Yesu Kristo msalabani