1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC yaelezea upigaji kura unavyoendelea Kenya

Grace Kabogo
9 Agosti 2022

Wakati shughuli ya upigaji kura nchini Kenya itakapokamilika baadae Jumanne jioni macho sasa yataelekezwa katika Ukumbi wa Bomas jijini Nairobi ambako ndiko kinapatikana kituo kikuu cha kuyakusanya matokeo yote na kuyajumlisha kwa ajili ya kumtangaza mshindi wa urais.

https://p.dw.com/p/4FJQX

Kufahamu shughuli nzima ya upigaji kura inavyoendeleaje mpaka sasa, Bruce Amani amezungumza na Amina Soud, Meneja wa Elimu ya Umma wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC.