Tume ya uchaguzi Kenya
IEBC na serikali zashindwa kukubaliana
Tume ya uchaguzi Kenya haijaafikiana na serikali juu ya kiwango cha malipo kwa makamishna wanaotaka kubanduliwa madarakani. Upinzani unasisitiza makamisha wa tume waondoke kufikia tarehe Mosi Oktoba.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada
IJUE DW
Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com